Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Naona unampiga spana jamaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamis & Madenge in Twitter View attachment 1572256
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unampiga spana jamaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamis & Madenge in Twitter View attachment 1572256
Chief hanipigi spana! Nimechukua picha lakini nimekula kama kilichopo kwenye hiyo picha at Burning spear spur! Na uzuri ni kwamba nimesema sijaweka picha halisi ya kwangu.Naona unampiga spana jamaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini Ugali pia si ni wanga !???Hakuna mahala nimesema ugali... focus on processed sugars. Constantly snack on biscuits, chocholate, karanga, korosho, ice cream
Hii unashiba kwel mkuu?[emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1572085
Oh sawaSio wanga wote ni sawa. Wanga unatofautiana kitu kinaitwa glycemic index. The higher the glycemic index ya hicho chakula the higher the insulin response. Insulin inapotengenezwa kwa wingi ndio sasa unapata kuhifadhi fat kwenye cells. The more processed and refined the sugars the higher the glycemic index. Ugali, wali pia ni processed (except dona, brown rice sio processed) ila keki, icecream, biscuits, sodas, baked shit ni even more processed ergo higher glycemic index ergo higher insuli ergo fat storage therefore weight gain.
Sisi tunaopungua tunapambana kuhakikisha hatuproduce insulin, so maybe nyie mnaonenepa jaribuni kuichokoza itengenezwe kwa wingi.
Mkuu nia ni afya na wala siyo kujaza tumbo!Hii unashiba kwel mkuu?
OkeWhichever you find easy to consume copious amounts of
Wacha weeMkuu nia ni afya na wala siyo kujaza tumbo!
Toka huko ndani ulipojifungia njoo barabarani wanaume tukuone![emoji847][emoji847][emoji847]Wacha wee
Nguvu zenyewe za kwenda barabarani nazitoa wapi Hata kg 60 sijafikisha[emoji1787]Toka huko ndani ulipojifungia njoo barabarani wanaume tukuone![emoji847][emoji847][emoji847]
Ooh sawaKula sana viazi, wali mweupe, mkate na masukari as I said. Nimegoogle hapa View attachment 1572324
Hapo sawa[emoji847]Yeap.
Kwa msosi huo inategemea na kazi unayofanya...hyo moja kwa moja ni watu wa oficn wakucheza na keyboard na kukaa kwa kitiMkuu nia ni afya na wala siyo kujaza tumbo!
Kaza mkuu The rock on the making..
Mbona uko fine? Au nguo?
Hospital hawakukupa maelekezo? Sina nijualo ila nahisi vilaini laini pia chunga usipate constipationNdugu zanguni habarini za mchana ? Nimefanyiwa oparesheni ya kwenye utumbo wangu hivi napaswa kutumia vyakula gani maana na nina wiki ya pili sasa na kuna baadhi ya vyakula naogopa kuvitumia nikihisi vitaniletea madhara .
Karibu kwa mchango wenu.
Samahani sana kwa kuwaingilia. Ila mngeenda PM ingependezaMbona uko fine? Au nguo?
Height gani? Kg ngapi?
SikupewaHospital hawakukupa maelekezo? Sina nijualo ila nahisi vilaini laini pia chunga usipate constipation
Daaah unanitisha jmn constipation tena ?Hospital hawakukupa maelekezo? Sina nijualo ila nahisi vilaini laini pia chunga usipate constipation
Najua tumeweka si mahala pakeSamahani sana kwa kuwaingilia. Ila mngeenda PM ingependeza