Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Hakuna mahala nimesema ugali... focus on processed sugars. Constantly snack on biscuits, chocholate, karanga, korosho, ice cream
Lakini Ugali pia si ni wanga !???
Asante mkuu,nitajitahidi kufuata maelekezo yako.
Karanga zipi ni Nzuri Zaidi!?mbichi,za kuchemsha au za kukaanga?
 
Sio wanga wote ni sawa. Wanga unatofautiana kitu kinaitwa glycemic index. The higher the glycemic index ya hicho chakula the higher the insulin response. Insulin inapotengenezwa kwa wingi ndio sasa unapata kuhifadhi fat kwenye cells. The more processed and refined the sugars the higher the glycemic index. Ugali, wali pia ni processed (except dona, brown rice sio processed) ila keki, icecream, biscuits, sodas, baked shit ni even more processed ergo higher glycemic index ergo higher insuli ergo fat storage therefore weight gain.


Sisi tunaopungua tunapambana kuhakikisha hatuproduce insulin, so maybe nyie mnaonenepa jaribuni kuichokoza itengenezwe kwa wingi.
Oh sawa
Akhsante mkuu kwa somo hili[emoji120]
 
Ndugu zanguni habarini za mchana ? Nimefanyiwa oparesheni ya kwenye utumbo wangu hivi napaswa kutumia vyakula gani maana na nina wiki ya pili sasa na kuna baadhi ya vyakula naogopa kuvitumia nikihisi vitaniletea madhara .

Karibu kwa mchango wenu.
Hospital hawakukupa maelekezo? Sina nijualo ila nahisi vilaini laini pia chunga usipate constipation
 
Samahani sana kwa kuwaingilia. Ila mngeenda PM ingependeza
Najua tumeweka si mahala pake
Kuna uzi wa picha na tumeshatoa ila kujadili kuhusu tips za chakula nadhani ni sehemu sahihi.
Kwa Kwa yeyote niliyemkwaza anisamehe
Tutaendelea kujadili pasi na kuweka picha..wengi wenye uhitaji wanaweza kunufaika na maelekezo yanayotolewa hapa kuliko tukaenda PM nikanufaika pekeyangu.
 
Back
Top Bottom