Uzi wa vyakula tu

Ohoooo[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]hii mboga imeustua moyo wangu nipate na ugali wa dona [emoji2296] Sitojali kama Ina kiwese cha maana [emoji2957][emoji2957]
Rafiki ukiipata hiyo kwa dona utazidi kuwa na guu la Taifa![emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…