Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji4][emoji847][emoji7] akhsante KakaMdogo wangu mpendwa Saint Anne karibu tupate tam tam na tuendelee kumwabudu mungu katika roho na kweli[emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1582951
ila mimi kaka yako ni Mkurya pure,nikikutoa out ni mwendo wa kutembea kijeshi.Zile mbwembwe za watoto wa kisasa ni hakuna[emoji4][emoji847][emoji7] akhsante Kaka
Siku moja nitoe out basi
[emoji23][emoji23][emoji57]ila mimi kaka yako ni Mkurya pure,nikikutoa out ni mwendo wa kutembea kijeshi.Zile mbwembwe za watoto wa kisasa ni hakunaView attachment 1582970
Ohoooo😋😋😋😋😋hii mboga imeustua moyo wangu nipate na ugali wa dona 🙆♀️ Sitojali kama Ina kiwese cha maana 🤪🤪Mboga[emoji847] View attachment 1579682
Rafiki ukiipata hiyo kwa dona utazidi kuwa na guu la Taifa![emoji41]Ohoooo[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]hii mboga imeustua moyo wangu nipate na ugali wa dona [emoji2296] Sitojali kama Ina kiwese cha maana [emoji2957][emoji2957]
Behaviourist hujawahi ishiwa na neno.Rafiki ukiipata hiyo kwa dona utazidi kuwa na guu la Taifa![emoji41]
Safiii😋😋[emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1583249
Mambo vipi Mzee wa gugli?Mdogo wangu mpendwa Saint Anne karibu tupate tam tam na tuendelee kumwabudu mungu katika roho na kweli[emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1582951
Mkuu naona umefufuka ghafla!Mambo vipi Mzee wa gugli?
Mkuu naona umefufuka ghafla!
Itakuwa alianza kula huku ana uzingizi,si unaona hata hakajala sana.