πππ ya kweli hayo dingimtoto ??Wow! Chakula hichi naweza pata picha jinsi ulivyo kimuonekano/kitabia.
#[emoji56]
Hahahahaha! Ngoja nipe muda kwanza[emoji3][emoji3][emoji3] ya kweli hayo dingimtoto ??
Embu tiririka kidogo tuone kama your people reading skills are [emoji106][emoji106]or [emoji107][emoji107] [emoji846]
I'll be waiting ππHahahahaha! Ngoja nipe muda kwanza
Mheshimiwa mwenyekiti bado unadunda?[emoji28][emoji28][emoji28]Mwanaume wa dasilamu huyo...hapo anabakisha ndizi moja[emoji1787][emoji1787]
Haahaha karibuu kwenye matumizi ya mbaaziMheshimiwa mwenyekiti bado unadunda?[emoji28][emoji28][emoji28]
Basi mimi nimekosa nia tu.Ukiwa na nia utaweza tu
Hyo cake mjomba ni tamu...yan inabid ninunue cake usiku huu...nile na cofee isiyokua na sukar..aisee....had mate mdomoni
Niliwai kuwa na demu m1 pissi kali ila kwwnye kula huyo mdudu...yaan tunaagiza kilo mbili na tunamaliza.nkawa namuuliza we pisi kali gani unakula hivi...
πππ ni tamu sana ndio maana.Niliwai kuwa na demu m1 pissi kali ila kwwnye kula huyo mdudu...yaan tunaagiza kilo mbili na tunamaliza.nkawa namuuliza we pisi kali gani unakula hivi...
Kuku vs Motokiti?[emoji1][emoji1][emoji1] ni tamu sana ndio maana.
Sema mi sidhani kama naweza kumaliza 1kg on my own all at once.
Kiti all day every day ππKuku vs Motokiti?
Yan hapo nikishushia na Kilimanjaro tatu za baridi, hadi kesho yake tena ndo ntakula tena msosi ππ[emoji847] View attachment 1607247