Karibu Sana
JF-Expert Member
- Mar 14, 2020
- 991
- 1,765
Sio jukwaa la siasa hili, unastahili kula ban nitashangaa mods wakikuacha [emoji16][emoji23]Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na usalama wa Taifa katika kuendesha uchaguzi,kusimamia na kufanya mauaji ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga na za aibu hivi.View attachment 1617363
Hivi
Hivi Jodari ni bei gani?
Mimi huwa na nunu Samaki mkubwa wa kilo 6 kwa Elf50
Asante MkuuMimi huwa na nunu Samaki mkubwa wa kilo 6 kwa Elf50
Mnajaza nini matumbo, maji au gesi??Ukipita Uzi unaeza ona kabisa kumbe wengine hatuli ila tunajaza tumbo tu
Ndo cha asubuhi, mchana & usiku kwa leo. Appetite hamna 🥴🥴
Wapi uko mkuu? Mana hata huku kwetu pwani hatupati kwa bei hii! Samaki kawa ghali kuliko kuku