Karibu Sana
JF-Expert Member
- Mar 14, 2020
- 991
- 1,765
Sio jukwaa la siasa hili, unastahili kula ban nitashangaa mods wakikuacha [emoji16][emoji23]Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na usalama wa Taifa katika kuendesha uchaguzi,kusimamia na kufanya mauaji ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga na za aibu hivi.View attachment 1617363