View attachment 1617769Naandaa kachumbari hapa. [emoji39][emoji39][emoji39]
Nd mix gan elezea
Pilau bubu 😁🙈🙈Hiyo wanaitaga nini mamy?
Hodari kweli kweli[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] eti hodari.
Haya jiandae na pishi la chapati za kusukuma baadae.
Kabisa bossMkuu ww n mdau kama mm?
Hii inaitwa VUVUZELA FAV unaipata Pizza Hut, hii ilikua na Fries , Pizza (Small), Wings na Coca Moja, Bei yake ni 13,000 Shillings tu.Nd mix gan elezea
Nikajua birianiPilau bubu [emoji16][emoji85][emoji85]
Ndida upo, safi Sana nilikuwa napendaga sana zile Picha ulikuwa unatupia za enzi hizoHii inaitwa VUVUZELA FAV unaipata Pizza Hut, hii ilikua na Fries , Pizza (Small), Wings na Coca Moja, Bei yake ni 13,000 Shillings tu.
Haaaaa Haaaaa 😂 halooooonjoo unipikie dear
Haaaaa Haaaaa [emoji23] halooooo
😢 😢 Haaaaa Umejuaje? Naona kila kona umewapanga,cheko la wivu[emoji16]
Nipo Boss, Kama kawa tunaliendendeleza mkuu.Ndida upo, safi Sana nilikuwa napendaga sana zile Picha ulikuwa unatupia za enzi hizo
Big up
[emoji22] [emoji22] Haaaaa Umejuaje? Naona kila kona umewapanga,
Kwaheri
Safi Sana mkuu, hongeraNipo Boss, Kama kawa tunaliendendeleza mkuu.
MI sikutaki tena, kwahersiwezi kukuacha kibonge wangu,[emoji8]
Up pnd ganKabisa boss