Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Hodari kweli kweli
🤗🤗🤗

Haya sasa somo linaanza rasmi Iceberg9
Ila tunajifunza kwa picha zaidi maana hata sina vipimo, kila kitu nakadiria tu 🙃

#1.... Mchanganyiko wa unga, chumvi, mafuta kidogo na maji ya uvuguvugu.
20201113_205613.jpg

🙂🙂
#2....Shurti unga ukandike (uwe mlaini though) mpaka uache kung ang'ania mkononi.
20201113_205712.jpg

#3....Sukuma mara ya kwanza, paka mafuta kidogo kisha uzikunje ili zichambuke.
20201113_205820.jpg

#5....Kaanga kwa moto mdogo kiasi ili ziive vizuri na zisiungue....
20201113_210017.jpg

#6.... Weka kwenye chombo chenye mfuniko kisha funika ili ziwe laini....
20201113_210115.jpg
 
[emoji847][emoji847][emoji847]

Haya sasa somo linaanza rasmi Iceberg9
Ila tunajifunza kwa picha zaidi maana hata sina vipimo, kila kitu nakadiria tu [emoji854]

#1.... Mchanganyiko wa unga, chumvi, mafuta kidogo na maji ya uvuguvugu.
View attachment 1625880
[emoji846][emoji846]
#2....Shurti unga ukandike (uwe mlaini though) mpaka uache kung ang'ania mkononi.
View attachment 1625881
#3....Sukuma mara ya kwanza, paka mafuta kidogo kisha uzikunje ili zichambuke.View attachment 1625882
#5....Kaanga kwa moto mdogo kiasi ili ziive vizuri na zisiungue....
View attachment 1625883
#6.... Weka kwenye chombo chenye mfuniko kisha funika ili ziwe laini....
View attachment 1625884
Interesting [emoji7][emoji3590]
Mimi huwa natia na sukari kidogo,,zinanoga sana
 
[emoji847][emoji847][emoji847]

Haya sasa somo linaanza rasmi Iceberg9
Ila tunajifunza kwa picha zaidi maana hata sina vipimo, kila kitu nakadiria tu [emoji854]

#1.... Mchanganyiko wa unga, chumvi, mafuta kidogo na maji ya uvuguvugu.
View attachment 1625880
[emoji846][emoji846]
#2....Shurti unga ukandike (uwe mlaini though) mpaka uache kung ang'ania mkononi.
View attachment 1625881
#3....Sukuma mara ya kwanza, paka mafuta kidogo kisha uzikunje ili zichambuke.View attachment 1625882
#5....Kaanga kwa moto mdogo kiasi ili ziive vizuri na zisiungue....
View attachment 1625883
#6.... Weka kwenye chombo chenye mfuniko kisha funika ili ziwe laini....
View attachment 1625884
Weweeeeee wachaaaaa ohh my dear ahsante mnooo mnooo mnooo my umenifariji, naona pia ulimiss chapati wewe, napenda chapati ikiwa katika muonekano huo haijaungua inavutika inachanikachanika laini ahhhh salaleee, pia chapati iwe served with kuku rojo yenye pilipili ndani au maharagwe ya nazi au pia rojo ya nyama iliyopikia beef masala, au kitimoto rojo, hakika chapati nitazila hizo hata 6, ahasante kwa mafunzo mpishi wangu hodari [emoji3590]
 
[emoji847][emoji847][emoji847]

Haya sasa somo linaanza rasmi Iceberg9
Ila tunajifunza kwa picha zaidi maana hata sina vipimo, kila kitu nakadiria tu [emoji854]

#1.... Mchanganyiko wa unga, chumvi, mafuta kidogo na maji ya uvuguvugu.
View attachment 1625880
[emoji846][emoji846]
#2....Shurti unga ukandike (uwe mlaini though) mpaka uache kung ang'ania mkononi.
View attachment 1625881
#3....Sukuma mara ya kwanza, paka mafuta kidogo kisha uzikunje ili zichambuke.View attachment 1625882
#5....Kaanga kwa moto mdogo kiasi ili ziive vizuri na zisiungue....
View attachment 1625883
#6.... Weka kwenye chombo chenye mfuniko kisha funika ili ziwe laini....
View attachment 1625884
Chapati chapati ninazipenda mno sema zinanishibishaga haraka nachukia, yani nikizikalia kuanza kula nakua nawaza kula 6 nikianza kula ni tatu tu nimeshiba,

Kuna kipindi nilikua napenda kununua zile za supermarket za azam zilizo andaliwa wewe kazi yako ukifika nyumbani unachoma tu, kwa ufupi napenda chapati, pia napenda chapati ninywee mtori, supu chai sio sana labda chai ya maziwa yenye viungo vyote
 
[emoji847][emoji847][emoji847]

Haya sasa somo linaanza rasmi Iceberg9
Ila tunajifunza kwa picha zaidi maana hata sina vipimo, kila kitu nakadiria tu [emoji854]

#1.... Mchanganyiko wa unga, chumvi, mafuta kidogo na maji ya uvuguvugu.
View attachment 1625880
[emoji846][emoji846]
#2....Shurti unga ukandike (uwe mlaini though) mpaka uache kung ang'ania mkononi.
View attachment 1625881
#3....Sukuma mara ya kwanza, paka mafuta kidogo kisha uzikunje ili zichambuke.View attachment 1625882
#5....Kaanga kwa moto mdogo kiasi ili ziive vizuri na zisiungue....
View attachment 1625883
#6.... Weka kwenye chombo chenye mfuniko kisha funika ili ziwe laini....
View attachment 1625884
Stage za awali weeee ni patashika #2 mambo ya kukanda unga aisee ni mtihani huo, azam walinisaidiaga kipindi walikua wanauza supermarket, kwasasa eneo nilipo sizioni supermarket
 
Labda zile chapati za maji, ukisema unaweka sukari naweza kukuelewa mdogo wangu, ila hizi za kusukuma mara kumi uweke blue band prestige ili ziwe laini na tamu [emoji39][emoji39][emoji39]
Ngoja siku ukionana na Mimi nitakupikia uone zinavyokuwa.
Sikari inaongeza flavor tu!Wala si Kama utaona ladha Yake kabisa.
 
Back
Top Bottom