Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Cheki pm ninekutumia chacheHongera.
Naomba nione picha [emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheki pm ninekutumia chacheHongera.
Naomba nione picha [emoji85]
Ngoja siku ukionana na Mimi nitakupikia uone zinavyokuwa.
Sikari inaongeza flavor tu!Wala si Kama utaona ladha Yake kabisa.
Nafurahi umefurahi Iceberg9 😊😊Weweeeeee wachaaaaa ohh my dear ahsante mnooo mnooo mnooo my umenifariji, naona pia ulimiss chapati wewe, napenda chapati ikiwa katika muonekano huo haijaungua inavutika inachanikachanika laini ahhhh salaleee, pia chapati iwe served with kuku rojo yenye pilipili ndani au maharagwe ya nazi au pia rojo ya nyama iliyopikia beef masala, au kitimoto rojo, hakika chapati nitazila hizo hata 6, ahasante kwa mafunzo mpishi wangu hodari [emoji3590]
Mie mwenyewe chapati ya kusukuma ikitiwa vikorokoro kibao mara sijui mayai/sukari/mutter/samli/maziwa etc. sili kabisa. Mie napenda zikiwa simple.Za maji ndiyo naonaga zinatiwa sukari
Hujapika chapati for 2yrs ohh nimekufanya upike sio hongera mno, nafurahi kuona umetimiza ahadi yangu, ni muda Hujapika ila zimeonekana nzuri sana sana sana na zenye kuleta hamu,Nafurahi umefurahi Iceberg9 [emoji4][emoji4]
Kwakweli chapati ukizipatia na mboga hizo ulizotaja ni balaa. Yani ukifanya mchezo hata kama uko kwenye diet unajisahau kabisa.
Ni muda nilikuwa sijapika chapata (almost 2 years hivi nikawaka nanunua kwa wamama wanaochomaga asubuhi/jioni [emoji85][emoji85]) kwahiyo jana nilikuwa napika kwa wasiwasi [emoji45][emoji45] ila zilitoka tamu sana na walaji walifurahi [emoji846][emoji846]
Kweli kukanda ndio inakuwaga changamoto kwa wengi. Na shughuli yake sio mchezo ndo maana mie hiwa sipikagi chapati if I'm not in a really good mood [emoji854][emoji854]
Picha ya mwisho nilitupia ili angalau ule kwa macho [emoji6][emoji6]
Hata za kusukumaZa maji ndiyo naonaga zinatiwa sukari
Sipendi hii combination hata
Unapenda nini???😏😏Sipendi hii combination hata
Sijui hata napenda nini ila hiyo sipendi.Unapenda nini???😏😏
Hivi na hilo "Tumbo" hiki chakula utashiba kweli😜
[emoji23][emoji23][emoji23] iyo picha imefanya chakula kionekane kidogo ni kingi icho cha kushiba kabisaHivi na hilo "Tumbo" hiki chakula utashiba kweli[emoji12]
Ok, maana mimi hapo ni matonge 2 tu kimeisha😀😀[emoji23][emoji23][emoji23] iyo picha imefanya chakula kionekane kidogo ni kingi icho cha kushiba kabisa