Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
nimetamani hapa na njaa inavyoniuma[emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 1628484View attachment 1628485
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimetamani hapa na njaa inavyoniuma[emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 1628484View attachment 1628485
Kumbe nawe ni mlaji ugali?nimetamani hapa na njaa inavyoniuma
Mbona tunatesana hivi[emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 1629130
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona tunatesana hivi
noma sana
Labda unga ulikuwa mlaini sana MNANSOLizy unaweka nini kwenye kalmati? mimi last two weeks nilipika niliweka hamira tuu, aiseee zilikula sana mafuta yangu had nilijuta na zikawa zinakinai kooni, itakua nilikosea wapi?
Haya ndio maisha, sio kusindikiza wanaoishi.[emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 1627274View attachment 1627275
Matumizi mabaya ya mboga.[emoji847]View attachment 1627861
Sababu ambayo naweza kuifikiria haraka haraka ni kwamba pengine unga haukuwa umeumuka vizuri??🤔Yangu ukiyabonyeza yanabonyeka sana....ndani yameachana.Nilikoroga unga na maji ya vuguvugu na hamira, unga ulikua sio mzito sana
ndiyo huwa nikitamani nakula mchana ingawa kwa week sili zaidi ya mara mojaKumbe nawe ni mlaji ugali?
Mkuu naomba nihamie kwako![emoji39][emoji39][emoji39]
Karibu sanaMkuu naomba nihamie kwako![emoji39][emoji39][emoji39]