Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Weekend najaribu jaribu kupika maandazi, mara ya mwisho nimekanda unga yale maandazi Mungu ndiyo anajua, yani magumu kitenesi kilaini nakosea nini mtoto mzuri
Ukiendelea kuniita mpishi hodari utashangaa siku na mie naanza kujiita hivyo 🤗🤗

😄😄😄 we unga ulikuwa mgumu kiasi gani mpaka yawe magumu hivyo??🙈🙈 Next time embu jaribu kukanda unga ambao ukibonyeza unabonyea kirahisi. Alafu weka hamira ya kutosha & acha uumuke vizuri.

Hizo mbwembwe za butter mie huwa sifanya maana sipendi vitu vingi vingi. So huwa naweka Unga, Hamira, Mafuta kidogo, Chumvi kidogo na Sukari. That's it!!!!
 
Daaaaa kuna siku nikiwa na mwenzangu tilikua na hamu na haya madude bana tukaingia jikoni...tulitoa vitu vya ajabu cha kwanza hayakua na nyama ndani halafu kama kaukau[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Japo unga tulikanda na blueband yai pamoja na amira
Hazard CFC poleni sana 😅😅😅 Embu siku nyingine jaribuni kwa kuweka simple ingredients tu (Unga/Hamira/Mafuta/Sukari/Chumvi/Maji) alafu muone itakuwaje.

Mkikanda unga usiwe mgumu sana na pia muache uumuke kabisa!! Yani kama ukikanda unakuwa nusu kwenye chombo....uache uumuke mpaka ujae kwenye chombo ndio zoezi la kukaanga lianze. Na ukitaka uumuke vizuri uweke sehemu yenye joto la wastani (mf. juani, pembeni ya jiko au hata kwenye oven ila hapa inabifi uwashe kidogo ipate joto alafu uzime ndo uweke unga wako).
 
Ukiendelea kuniita mpishi hodari utashangaa siku na mie naanza kujiita hivyo [emoji847][emoji847]

[emoji1][emoji1][emoji1] we unga ulikuwa mgumu kiasi gani mpaka yawe magumu hivyo??[emoji85][emoji85] Next time embu jaribu kukanda unga ambao ukibonyeza unabonyea kirahisi. Alafu weka hamira ya kutosha & acha uumuke vizuri.

Hizo mbwembwe za butter mie huwa sifanya maana sipendi vitu vingi vingi. So huwa naweka Unga, Hamira, Mafuta kidogo, Chumvi kidogo na Sukari. That's it!!!!
Huweki baking powder?
 
20201119_195056.jpg
 
Back
Top Bottom