The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
Kinyonge sana leo dingi,#Chips dumeView attachment 1661479
Limbwata utatafuta sana, ndoa tamu asikwambie mtuSijui sasa
Nikaona ngoja ninyamaze [emoji38]wanasema usitukane mamba kabla haujavuka mto.
OhooLimbwata utatafuta sana, ndoa tamu asikwambie mtu
Oh! Yes.Tembele ?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] huku ni mwendo wa nyama, supu na mbege...mbona sikuoni mjini huku nikupeleke nyumbani ukanywe supu, ule machalari na unywe mbege na MakongoroMbona hutuwekei mbege na ile kichuri ba mjengo,tule kwa macho[emoji1]
😋😋naogopa wazee watamaliza mwaka na mimi 💍💃💃[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] huku ni mwendo wa nyama, supu na mbege...mbona sikuoni mjini huku nikupeleke nyumbani ukanywe supu, ule machalari na unywe mbege na Makongoro View attachment 1661995View attachment 1661994
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unaogopa kuingia kwenye kitanzi, kwahiyo unataka bado kurukaruka kama sungura [emoji1787][emoji1787][emoji39][emoji39]naogopa wazee watamaliza mwaka na mimi [emoji183][emoji126][emoji126]
Hahahaha hizo bamia sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ugali mweupe na mduduView attachment 1656964
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Tufani ni tunda alilokula eva bustani ya eden ndiyo akatupoteza wote, sili tunda la mti hule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3], ndio tumalize kwanza mjengo, halafu mwakani tarehe kama hizi tuvae kitanzi[emoji1787]
Karibu tundaView attachment 1662304
Tanga bhana..[emoji3][emoji3]
Mdada hujambo! hujatimiza ahadi[emoji2986][emoji2986]