Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Chief, yatajaa vipi kwenye simu yako bila ya kusave mwenyewe? Si lazima usave unaweza ukayapita kimya kimya tu!!Hongera sana kwa mapishi Mkuu, mm ni hayo yaliyoko shambani yanajaza kwenye kasimu kangu ka Tecno, weka mahanjumati NI KWA USHAURI TU