Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Tabata yote mpaka kinyerezi kuna vijiwe vinafanya maajabu ya misosi, kazimoto ile mishikaki ya nguruwe ni hatari lainiii na ni mitamu
Ubaya wake anaweka maviungo mengi..wale tunaopenda nyama og hatuzitaki kwa sababu tunakua hatupati ile taste yenyewe ya nyama
 
Nawaza hapa kuna watu wengi hawajala, Mungu awafanyie wepesi.
IMG_20201126_113250_046.jpg
 
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
View attachment 566179View attachment 566180

Sent using Jamii Forums mobile app
Nime
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 566179View attachment 566180

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemmiss huyo chamaki nchanga
 
Back
Top Bottom