Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Ubaya wake anaweka maviungo mengi..wale tunaopenda nyama og hatuzitaki kwa sababu tunakua hatupati ile taste yenyewe ya nyamaTabata yote mpaka kinyerezi kuna vijiwe vinafanya maajabu ya misosi, kazimoto ile mishikaki ya nguruwe ni hatari lainiii na ni mitamu