Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Wanawake wako na shida mingi sana, nime exchange sahani na dogo kaja kumwaga msosi wote na Kupasua sahaniView attachment 1648322
Aysee acha tu, alikuwa kitchen baada ya kututengea msosi na dogo, kila siku tunakula pamoja ila jana katenganisha. Mm nikajisemea "Kinga ni bora kuliko tiba" (huku nikimwambia dogo achukue chakula changu na mm nile chake) kumbe alinisikia, baada ya ku exchange alikuja mbio kwa hasira akafanya hao aliyoyafanya.
Aiseee[emoji134]
Dunia ina mengi.Poleni mkuu.
 
[emoji2817][emoji2817][emoji2817]
Nawakumbusha tu!
Chai.jpg
 
Ulihisi nini mpaka ukaongea hivyo na ku exchange chakula??
Ni story ndefu ila inshort kuna mambo yalitokea Tz ambayo maamuzi sahihi ni kumpa talaka ila busara zaidi ilitumika nikamrudisha Nairobi ila nikaambiwa niwe makini nae sana hasa kwenye maswala ya chakula tena niliambiwa hata chakula chake nisile. Nilifanya hvyo kwa siku 2 za mwanzo, siku zilizofata nikawa nakula home ila anatutengea msosi pamoja na mdgo wangu coz mtu tunaorudi home yy anakuwa kashakula, sasa baada ya week moja ivi kupita akabadilisha utaratibu (ambayo ni Jana) akatutengea chakula kila mtu sahani yake, tena jana alichangamka sana nikaona tu kuna namna fulan ndio akili ya Ku exchange sahani ikanijia
 
Back
Top Bottom