Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀 labda hapendi harufu mikononi.Wewe vyakula vyako kuna vijiko.
Shida nini?
Sijataka kujitafutia kesi, wacha kukuche arudi Tz aende kupumzika kwao kwa muda maybe atajutia kile alichotaka kukifanya[emoji23][emoji23][emoji23]hujampa makofi kidogo
Katumwa huyo maana hiyo vurugu hapo si ndogoSijataka kujitafutia kesi, wacha kukuche arudi Tz aende kupumzika kwao kwa muda maybe atajutia kile alichotaka kukifanya
Pole bahariaWanawake wako na shida mingi sana, nime exchange sahani na dogo kaja kumwaga msosi wote na Kupasua sahaniView attachment 1648322
Aliefanya hivyo ni mkeo au mtotoWanawake wako na shida mingi sana, nime exchange sahani na dogo kaja kumwaga msosi wote na Kupasua sahaniView attachment 1648322
Aysee acha tu, alikuwa kitchen baada ya kututengea msosi na dogo, kila siku tunakula pamoja ila jana katenganisha. Mm nikajisemea "Kinga ni bora kuliko tiba" (huku nikimwambia dogo achukue chakula changu na mm nile chake) kumbe alinisikia, baada ya ku exchange alikuja mbio kwa hasira akafanya hao aliyoyafanya.Katumwa huyo maana hiyo vurugu hapo si ndogo
Wife BudahAliefanya hivyo ni mkeo au mtoto
Ohoooo mkuu huyo ni one way ticket kwao hamna namna shtukaAysee acha tu, alikuwa kitchen baada ya kututengea msosi na dogo, kila siku tunakula pamoja ila jana katenganisha. Mm nikajisemea "Kinga ni bora kuliko tiba" (huku nikimwambia dogo achukue chakula changu na mm nile chake) kumbe alinisikia, baada ya ku exchange alikuja mbio kwa hasira akafanya hao aliyoyafanya.
Aysee acha tu, alikuwa kitchen baada ya kututengea msosi na dogo, kila siku tunakula pamoja ila jana katenganisha. Mm nikajisemea "Kinga ni bora kuliko tiba" (huku nikimwambia dogo achukue chakula changu na mm nile chake) kumbe alinisikia, baada ya ku exchange alikuja mbio kwa hasira akafanya hao aliyoyafanya.
nahisi jamaa machale yalimcheza mwili ukasisimkaUlihisi nini mpaka ukaongea hivyo na ku exchange chakula??