Tobaa roho yangu, nna njaa [emoji33]
Bidada hujambo,za siku,nimekumiss sana na wewe Mshana Jr angel wako karudi ata kuniita ilhali kutwaa ulikua ukiniuliza kuhusu angel,nimenuna [emoji17]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tobaa roho yangu, nna njaa [emoji33]
Bidada hujambo,za siku,nimekumiss sana na wewe Mshana Jr angel wako karudi ata kuniita ilhali kutwaa ulikua ukiniuliza kuhusu angel,nimenuna [emoji17]
Uwiiiiiiiiiiii!
Kama kawa!
Sijambo Bi Faa. Hahahahaha miss u tooo. Za maisha lkn?
Nzuri Alhamdulillah vipi na wewe na Zenji naona mnatunyima madoriani[emoji19].
Hili ua unazidisha utamu sio [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji39][emoji39][emoji39]
Hapa ulikua tumekumisssss mnooo mama maakuli mamaa wa vitu vitamu mamaa wa madikodiko uncle G penda sana weweNzuri Alhamdulillah vipi na wewe na Zenji naona mnatunyima madoriani[emoji19].
Hapa ulikua tumekumisssss mnooo mama maakuli mamaa wa vitu vitamu mamaa wa madikodiko uncle G penda sana wewe
Hili ua unazidisha utamu sio [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hapo hachomoki mtueeh mahaba mahabani ya bwana na bibi