Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
[emoji23][emoji23]Nani kama Lizzy?
Na mie najidai kujisogeza sogeza ila sidhani kama nitampata [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Nani kama Lizzy?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sawa mamiSubiri nikuulizie kwa wenye uzoefu
Hii keki ya nyama, nilihisi ni chips yaiView attachment 1640224
Cake ya nyama
Hii keki ya nyama, nilihisi ni chips yai
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijampata Lizy lakini [emoji23][emoji23][emoji23]
sawa sawa mkuuKwenye Msosi wangu huwezi kukosa Karanga au Rolex au vyote kwa pamojaView attachment 1641159
sijamuona dada yangu,vipi ulikuja huko kuwapikia nini mkuu?wanaume wa magetoni tukiamua tunawezaView attachment 1641147
Nayafahamu haya, Mbeya kwetu tunaita "Maswisa" sasa sijui ni kiswahili hicho ama kibantu🙉Nani anayajua haya matunda?View attachment 1637813
Umekosea kidogoNayafahamu haya, Mbeya kwetu tunaita "Maswisa" sasa sijui ni kiswahili hicho ama kibantu[emoji86]
Aisee 😀😀Umekosea kidogo
Ni mafwisa
Kiswahili chake sijui[emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi kikwetu ndio tunaita hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2772]Aisee [emoji3][emoji3]