Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Lizzy never dissapoint
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lizzy never dissapoint
Peke yako mkuu,
Peke yako mkuu,
Mkuu wewe ni mlafiNdio mkuu... huwa nakula mpaka nichoke kutafuna
Mkuu wewe ni mlafi
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nilikua na joke tu mzeeNdio mi mlafii... lkn sinyi kwenu kLMY
Lizzy never dissapoint
Haya matunda yanaonekana mabaya haya sujui ladha yake itakuwaje.
Natokea dodoma ila sijawahi kuyaona tangu nizaliwe
Utajua tu watu walaji wa kuku, ila mini kidari nakifurahia sana vimfupa na pia huwa ni kubwa, kidari kilichochomwa au kukaangwa ni kwikwi
Nahitaj pesa kiasi gani ili nikifika zenji maeneo mazuri mazuri sehemu za kulala nzuri, nipate hata boti nizunguke ziwani, nile vyakula vitamuuu yani nile nijigalagaze, niinjoi, nipumzishe akili, nifurahi vilivyo nikitoka hapo memories zibaki kichwani kwa siku 14 kwa hesabu ya watu wawili, hebu nishawishi utalii wa ndani
[emoji23][emoji23]Nani kama Lizzy?Lizy kama Lizy [emoji23]
Angel mautam![emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1640224
Cake ya nyama
Hoteli za zenji zinaendaje kwa double[emoji4][emoji4]Tayarisha kama 1M chenji inaweza ikabaki
Mhmhhhh sante upo vizuri
Angel mautam![emoji23][emoji23][emoji23]
Hoteli za zenji zinaendaje kwa double[emoji4][emoji4]