Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Mambo ya food nutrition mm sijui ila ijumaa tende muhimu sn kwangu kama sio juice basi tende na maziwa.Nasikia tende zina kazi yake maalum au ukinywa juice ya tende
Mchana twende nkakununulie Bruce lee