Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Baba paroko jaman miss u kwenye misosi usisahau kuweka nundu
I miss you more muumini wangu, tafrija hutakosa kitu ni mwendo wa mishikaki, kachumbari, chips, pilau, biriani, wali mweupe, kuku rosti, mvurugo wa mbuzi rojo, samaki rojo, kuku makange, fish finger, supu pweza nk kazi ni kwako... Muda wa tafrija ni jumapili jioni usikose
 
a9565d21048d035f42b101484df1764a.jpg

Kifungua kinywa cha kibabe..maziwa na tende
Mhmhhh una appointment ya wapi mkuu sio mchezo na hiyo diet all the best
 
I miss you more muumini wangu, tafrija hutakosa kitu ni mwendo wa mishikaki, kachumbari, chips, pilau, biriani, wali mweupe, kuku rosti, mvurugo wa mbuzi rojo, samaki rojo, kuku makange, fish finger, supu pweza nk kazi ni kwako... Muda wa tafrija ni jumapili jioni usikose
Mambo ninayoyapenda mie nakosaje sasa ila sadaka sina baba paroko
 
Back
Top Bottom