Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Mi nnayotumia huwa haikai kwenye sahani hivo!π baki nayo tu mkuu
Bado mahamri au maandazi hapo, wee πππPress playView attachment 1722938
Kanda ya ziwa huku mkuu!Wapi hapa chimbo la wapii
'Matumbo ile side ya ngozi' π€£kwenu mnaitaje hii kitu.View attachment 1723188
Matumbo?? Hivi ngoja nijifunze kiswahili kwanza.'Matumbo ile side ya ngozi' π€£
βοΈ
Wabongo naskiaga wakisema 'Utumbo' ila mimi jirani na wengi wetu huku tushazoea 'Matumbo' japokuwa nafkiri haliko sanifu. Hebu nipe elimu mkuu!Matumbo?? Hivi ngoja nijifunze kiswahili kwanza.
Kati ya maneno haya mawili ipi ndio jina halisi ya hiyo aina ya nyama?
A)Matumbo
B) Utumbo
Matumbo?? Hivi ngoja nijifunze kiswahili kwanza.
Kati ya maneno haya mawili ipi ndio jina halisi ya hiyo aina ya nyama?
A)Matumbo
B) Utumbo
Utumbo ni utumbo hauna wingi bali una aina, mfano utumbo mkubwa, utumbo mdogo, utumbo taulo, utumbo bomba, utumbo kitabu nkWabongo naskiaga wakisema 'Utumbo' ila mimi jirani na wengi wetu huku tushazoea 'Matumbo' japokuwa nafkiri haliko sanifu. Hebu nipe elimu mkuu!
[emoji3577]
Twende kazView attachment 1717767
kati ya vitu namisi ni hichi na makandeMwendo ule uleView attachment 1723522
ugonjwa wa moyokwenu mnaitaje hii kitu.View attachment 1723188
Sema chakula cha haraka kupatikana.Chakula pendwa cha wakazi wa DarView attachment 1723649