Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Press play
IMG_4614_62426.jpg
 
Matumbo?? Hivi ngoja nijifunze kiswahili kwanza.

Kati ya maneno haya mawili ipi ndio jina halisi ya hiyo aina ya nyama?
A)Matumbo
B) Utumbo
Wabongo naskiaga wakisema 'Utumbo' ila mimi jirani na wengi wetu huku tushazoea 'Matumbo' japokuwa nafkiri haliko sanifu. Hebu nipe elimu mkuu!
[emoji3577]
Utumbo ni utumbo hauna wingi bali una aina, mfano utumbo mkubwa, utumbo mdogo, utumbo taulo, utumbo bomba, utumbo kitabu nk
Matumbo ni wingi wa neno tumbo (stomach) kwa mfano
Tumbo lake limejaa gesi, matumbo yao yamejaa gesi
Kuna watu wana matumbo makubwa na kuna watu wana matumbo madogo nknk

Hivyo kuviita vile vya ndani 'matumbo' sio Kiswahili sanifu japo majirani zetu ndio wamezoea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom