Hizi kitu unaweza kula mpaka ukauliza niko wapi jamani🤔
Tukaribishane basi!View attachment 1748409
Kwa mama ntilie
Utaviweza hivi?Tukaribishane basi!
Mbona ndio vitu vyangu hivyo. Mi mswahili wa uswahilini kabisa.Utaviweza hivi?
nina hamu na tango ila sipati sokoniWale wa diet
View attachment 1748490
Hatari sana hizi vitu..mimi hata vipikweje naonaga mswano tuHizi kitu unaweza kula mpaka ukauliza niko wapi jamani[emoji848]
Mama kishori sa kumi anabandika bandua sa 12 saa 2 asb humjui kamaliza na hataki umweleze habari za vitumbua.
Ila mama yule alikua analea watu 20+
mle ndani, simple like that wanakula, wanalala wanaenda kuiba wakikimbizwa wanamletea kesi bibi yao.
Buguruni yapo mpendwanina hamu na tango ila sipati sokoni
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji847]View attachment 1748515
Rafiki akifufuka anafufuka na vitu vya maana kweli kweli!🤗🤗🤗Nilikula nusu nivimbiweView attachment 1748511
HahahaahaaaRafiki akifufuka anafufuka na vitu vya maana kweli kweli![emoji847][emoji847][emoji847]