Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

..
IMG-20210408-WA0030.jpg
 
Dah,umenikumbusha Mara ya kwanza kusikia nyama ya ulimi nlikua secondary,nkienda grocery kwa uncle akamuambia muhudumu aniletee supu ya ulimi nlikataa.Nliwaza tu ulimi ulivo wa ngo'mbe naulaje.Nkawaambia anipe tu supu ya nyama.Sa hivi ndo nyama yangu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] pata choma yake sasa
giphy.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom