Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Mmmhh kasheshe. Mambo ya kula bila nyama au kuku au samaki siyawezi.
Kukonda kazi aiseee [emoji25]
nachukia kitambi kuliko kitu chochote ni heri nishindie maji ila nisiwe na tumbo[emoji23][emoji23][emoji23]sasa nakiona kinaanza