Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
My favourite mikate [emoji39][emoji39][emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My favourite mikate [emoji39][emoji39][emoji39]
Vitumbua nshavitupimo hukoo kwenye group la job. Watajijua na swaum izi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo chips imekaa utamu mno
Jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vitumbua nshavitupimo hukoo kwenye group la job. Watajijua na swaum izi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu sasa zimewekwa kama kuonja tu😅😊Hiyo chips imekaa utamu mno
Koh Koh. Mtupietupie maghrib basi.
Safi sana [emoji106][emoji106][emoji106]Ki bachelaView attachment 1751460
Eti..hapo ungepunguza pilau unaongeza chips[emoji39]Alafu sasa zimewekwa kama kuonja tu[emoji28][emoji4]
Magharib ndio wapi huko mkuuKoh Koh. Mtupietupie maghrib basi.
Kwa bahati nzuri napenda pilau balaaaEti..hapo ungepunguza pilau unaongeza chips[emoji39]
Maghrib wakati wa kufuturu.Magharib ndio wapi huko mkuu
Hii chai ya viungo gani?
Hii yataka maziwa iliyotiwa syrup ya tende, weee 😋Tunakazia futariView attachment 1752134
Nimependa sana jinsi ulivyoset vyakula, lakini huo mkunjo wa chapati sijauelewa na Ramadhan hii [emoji2365][emoji2365][emoji2365][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]