Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Hapo na kaparachichi ni balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo na kaparachichi ni balaa
Penye njaa Mshana hakuna msalia mtumie,Simba hapo anatafuta kushiba tu akishiba anaweza kuwaangalia tu wanyama kibao wakikatiza mbele yake hana time.Mimi imeniumiza sana
Nyani wa India wale wakora sana na wale wenyeji hawawezi kuwapiga wanaogopa karmaPenye njaa Mshana hakuna msalia mtumie,Simba hapo anatafuta kushiba tu akishiba anaweza kuwaangalia tu wanyama kibao wakikatiza mbele yake hana time.
Juzi hapa nilikua naangalia documentary moja Nyani wamevamia mji fulani wanadili na wenyeji, hao wanazama ndani, dirishani wanafungua friji wanatafuna kila kitu kila mahali jikoni wapi,
Yaani ilikua inachekesha ila unawaonea huruma wakazi wale, maana wale nyani walikua zaidi ya vibaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Wakifukuzwa wanakimbia kidogo tu badae wanarudi.
Ilikua ni Njaa tu inawafanya wafanye hivyo.
Chakula cha taifa
View attachment 1758573
[emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 1743504
Kila nikionaga hii chakula ya jamhuri ya muungano wa Tanzania naingia jikoni kazi iendelee.Chakula cha taifa
View attachment 1758573
Ngoja leo niende kwa bi JanethHakuna kulala njaaView attachment 1678479
Braza utaoa kweli wanao tubebe ubweche kwenye mashati?
Hivi kwanini ndege kuku ni mtamu sana
Jirani upo!Ngoja leo niende kwa bi Janeth
Nipo jirani yangu..Jirani upo!