Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

JamiiForums-83041243.jpg
 
Kuna maísha niliishi nchi moja inayopakana na nchi nyingine sio Afrika... Tullikula nyama ya punda siku 90 mara tatu kwa siku...mwisho tukawa na harufu ya punda kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha huko yenyewe tumekula sana pofu, funo, swala, muhanga, nungunungu, punda milia, swala, njiwa pori (hawa tulikuwa tunawinda usiku kwa tochi ni rahisi sana) na kondoo za wamasai zenye miloo.
 
Back
Top Bottom