Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_20210425_120136_568.jpg
IMG_20210425_120135_810.jpg
 
Nimejichanganya na hii swaum...si nikapita kweny huu uz!!...

Daa sijui kama swaum bado ipo...ama namalizia muda tu:
 
Jaribu hii




menya ndizi zako vizuri toa moyo kwenye ndizi yako osha
panga majani ya ndizi kwenye sufuria yako panga ndizi zako vzr kwenye sufuria
Kuna Nazi chuja tui mara2 tui zito na tuikawaida Anza kuweka tuikawaida kwenye sufuria yenye ndizi bandika jikoni
weka chumvi kidogo Sanaa na sukari.saizi yako(kisia)
usifunike acha zichemke Hadi ziive vizuri epua

chukua sufuria Safi weka tui lako zito weka CASTAD kijiko kimoja,hiriki, ZABIBU KAVU kiasi maziwa unga vijiko 2 koroga vizuri bandika jikoni ianze kuchemka motomdogo uku unakoroga usiachie hata DK moja Hadi tui liwe zito Sanaa weka sukari kiduchu kwenye tui koroga zaidi na uepue mimina tui lilotoka jikoni kwenye ndizi zako na tikisa sufuria usikoroge tayari kwa kuliwa
@cajojo
 
Back
Top Bottom