Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ahimidiwe Mungu aliyeziumba ndizi yelewiiii......

IMG_20210427_204824_354.jpg
 
Omary Mohammed, Hamza Rajab na Mussa Juma wamekamatwa baada ya kukutwa wakimchuna mbwa ngozi kwa ajili ya kuandaa mishikaki katika kituo cha mabasi Msamvu mkoani Morogoro. Tukio hilo limewashitua wengi ambao wamekiri hununua mishikaki kwa wafanyabiashara hao.

HT: The Citizen.View attachment 1766772
Hawa jamaa mishkaki yao ilikuwa mitamu sana, kumbe nyama ya mbwa ina radha nzuri hivi.
 
Omary Mohammed, Hamza Rajab na Mussa Juma wamekamatwa baada ya kukutwa wakimchuna mbwa ngozi kwa ajili ya kuandaa mishikaki katika kituo cha mabasi Msamvu mkoani Morogoro. Tukio hilo limewashitua wengi ambao wamekiri hununua mishikaki kwa wafanyabiashara hao.

HT: The Citizen.View attachment 1766772
Unatupotezea stimu za mahanjumati.

Linyofoe ilo lipicha.
 
Sema dada ANGEL kwanini usiwe unaweka na somo la misosi, yaani namna ya kuandaa msosi flani. Mahitaji, matayarisho n.k

Unajua watu kama sisi ni food lovers, na tunapenda misosi amazing ya kibunifu na hiyo unayotupia humu.

Naomba uwe unatupa na somo namna ya kuandaa. Ikiwezekana anzisha hata group la mapishi huko whatsap. #CookWithAngel[emoji491][emoji490][emoji488][emoji1642][emoji1641][emoji487][emoji3053]
 
Back
Top Bottom