I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Ahimidiwe Mungu aliyeziumba ndizi yelewiiii......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni wewe na nani kwenye hilo zaga? 😋😋
Kumbe hivi vikombe vinapendwa na wengi?View attachment 1765620
Uji wa Mchele wenye hiriki
Kimaskani tu na ndugu.Hapo ni wewe na nani kwenye hilo zaga? 😋😋
Uji unaushushia kwa picha la hanjumati hapo au vp?View attachment 1765620
Uji wa Mchele wenye hiriki
Uji unaushushia kwa picha la hanjumati hapo au vp?
YAANI NILICHEKA NKAMU, maana hata sikuwaza mi nilipiga tu pichaHata Mimi nilitaka kusema[emoji23][emoji23]
Mwanzo nilidhani unakunywa uji kwa samaki,Sasa nikaona mbona sahani imesimama wima mno..YAANI NILICHEKA NKAMU, maana hata sikuwaza mi nilipiga tu picha
Hawa jamaa mishkaki yao ilikuwa mitamu sana, kumbe nyama ya mbwa ina radha nzuri hivi.Omary Mohammed, Hamza Rajab na Mussa Juma wamekamatwa baada ya kukutwa wakimchuna mbwa ngozi kwa ajili ya kuandaa mishikaki katika kituo cha mabasi Msamvu mkoani Morogoro. Tukio hilo limewashitua wengi ambao wamekiri hununua mishikaki kwa wafanyabiashara hao.
HT: The Citizen.View attachment 1766772
Unatupotezea stimu za mahanjumati.Omary Mohammed, Hamza Rajab na Mussa Juma wamekamatwa baada ya kukutwa wakimchuna mbwa ngozi kwa ajili ya kuandaa mishikaki katika kituo cha mabasi Msamvu mkoani Morogoro. Tukio hilo limewashitua wengi ambao wamekiri hununua mishikaki kwa wafanyabiashara hao.
HT: The Citizen.View attachment 1766772