Uzi wa vyakula tu

Mimi imeniumiza sana
Penye njaa Mshana hakuna msalia mtumie,Simba hapo anatafuta kushiba tu akishiba anaweza kuwaangalia tu wanyama kibao wakikatiza mbele yake hana time.
Juzi hapa nilikua naangalia documentary moja Nyani wamevamia mji fulani wanadili na wenyeji, hao wanazama ndani, dirishani wanafungua friji wanatafuna kila kitu kila mahali jikoni wapi,
Yaani ilikua inachekesha ila unawaonea huruma wakazi wale, maana wale nyani walikua zaidi ya vibaka 🤣🤣🤣.
Wakifukuzwa wanakimbia kidogo tu badae wanarudi.
Ilikua ni Njaa tu inawafanya wafanye hivyo.
 
Nyani wa India wale wakora sana na wale wenyeji hawawezi kuwapiga wanaogopa karma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…