[emoji39]
Hii ukishushia na maziwa mgando unashiba masaa 10.na kweli hizi tarehe si rafiki kabisa 🙂
Ila menu inaeleweka unashushia na maji
Hili ni bomu la viagra.
Kifungua kinywa cha kibabe..maziwa na tende
Huu lazima mtori
Sijawai kuyapenda kabisa.Ni matam sana, jinsi kama vilivyo viazi vitam, sema hili ladha yake ni ya kibabe zaidi.
Hizo chapati umepika mwenyewe
Late breakfast..
Hizo chapati umepika mwenyewe
Naomba unielekeze jinsi ya kuya pika ili nami ni enjoy hiyo ladhaNi matam sana, jinsi kama vilivyo viazi vitam, sema hili ladha yake ni ya kibabe zaidi.