Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kwani Idd ni leo?Good morning & Eid Mubarak to y'all celebrating and Uzi wa Vyakula members at large! π
View attachment 1782868
View attachment 1782877
View attachment 1782869
View attachment 1782870
View attachment 1782871
View attachment 1782872
View attachment 1782873
View attachment 1782874
Chakula ya walevi ni kitimoto?Vitu vya ngano vilishatushinda walevi...
Nyama,samakiChakula ya walevi ni kitimoto?
Ishaanza huku kwetu! π€£ Leo, kesho, weekend yote hadi Jumatatu watu warudi kaziKwani Idd ni leo?
aise nimesikia ukipata supu ya samaki kabla ya kuanza vyombo inakata hangoverNyama,samaki
ninayoKuna mwenye hii kitu hapa?View attachment 1782994
Ulinunua wapi? Bei gani? Vipi ufanisi?ninayo
niliagiza ChinaUlinunua wapi? Bei gani? Vipi ufanisi?
πNimeona video mahali hutumii mafuta ya kuongeza hata kidogo. Ilikugharimu shingapi kuagiza mpaka unaipata mkononi?niliagiza China
ni nzuri nikiwa sijisikii kukaanga nakata kila kitu natia spices nafunika
nanyoonya miguu
narudi nageuza juu chini
nafunua tayari kwa kula
haihitaji mafuta kabisaπNimeona video mahali hutumii mafuta ya kuongeza hata kidogo. Ilikugharimu shingapi kuagiza mpaka unaipata mkononi?
Shukrani madam kumbe bei nafuu hivyo. Itabidi tufanye mpango uagize mbili.haihitaji mafuta kabisa
nilijaribu kuweka yakawa yanatatarika kama chumvi motoni
ilifika kama 33,000
ila pia agiza Zanzibar baada ya Eid nitamwagizia Mama yeye hawezi kusubiri kutoka China,
siyo bei ghali huku bara ndo zimefikia 45-60kShukrani madam kumbe bei nafuu hivyo.
Mi na ndizi mbalimbali..ndiz za kupikwa...mi nakulaga zile za kukaangwa tena zile zenye sukari kubwa.ila sjui bukoba sjui matoke et zmepikwa na nyama sjui kuku..sili hata mara1Ndizi huli mzee? Una allergy au?
Acha upumbavu kaka
Unatafuta kesi tu hayo mayai
Hii kitu nilikula kwa open kitchen dada pendo...nilipelekwa na shemej yenu...ilikuaa tamu had shemej yenu akapata genye .
75kKuna mwenye hii kitu hapa?View attachment 1782994
Misosi yake mingine ya kiswahili vipi,iko fresh?Hii kitu nilikula kwa open kitchen dada pendo...nilipelekwa na shemej yenu...ilikuaa tamu had shemej yenu akapata genye .
π π πHii kitu nilikula kwa open kitchen dada pendo...nilipelekwa na shemej yenu...ilikuaa tamu had shemej yenu akapata genye .