Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Yanaitwa masheli sheli, hayo uliyokula wewe siku hiyo yalikuwa hayana viungo. Kiufupi ukiyapika kwa kutumia viungo vya pilau, haki ya mungu pilau utaisamehe. Yaani ni matamu balaa na ladha yake ni kama viazi.Hivi mnayaitaje?
Mie pilau hata kama naumwa siachi,
Pilau,
Nyama
Ndizi
And salads