Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Hivi mnayaitaje?

Mie pilau hata kama naumwa siachi,
Pilau,
Nyama
Ndizi
And salads
Yanaitwa masheli sheli, hayo uliyokula wewe siku hiyo yalikuwa hayana viungo. Kiufupi ukiyapika kwa kutumia viungo vya pilau, haki ya mungu pilau utaisamehe. Yaani ni matamu balaa na ladha yake ni kama viazi.
 
Hahaa haya bwana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usije ukanirudisha huko tena sirudi sitaki mie. Nimetembea sehemu zote na states kutafuta hata yale mandizi mfu wapi! Yaani nimepungua kilo karibu 5 sababu ya njaa. I can not take it. These kind of food are not for me na hata nikipika, it does not work.
 
bbabe8e1af1603f88ea91b21f3ddb0e0.jpg

Haya mambo tutayakosa...chako ni chako pamevunjwa leo
 
Hiki kilikuwa kiwanja muhimu sana mm kupiga misosi nikiwa dodoma...nitaenda huko kesho nikaone mambo yakoje
Mambo yako poa sana Mkuu. Ukiona pabaya, kuna Carribean mitaa hiyohiyo opp na kile kiwanja kilicho wazi wanapark magari
 
Back
Top Bottom