Yanaitwa masheli sheli, hayo uliyokula wewe siku hiyo yalikuwa hayana viungo. Kiufupi ukiyapika kwa kutumia viungo vya pilau, haki ya mungu pilau utaisamehe. Yaani ni matamu balaa na ladha yake ni kama viazi.Hivi mnayaitaje?
Mie pilau hata kama naumwa siachi,
Pilau,
Nyama
Ndizi
And salads
Hahaa haya bwanaYanaitwa masheli sheli, hayo uliyokula wewe siku hiyo yalikuwa hayana viungo. Kiufupi ukiyapika kwa kutumia viungo vya pilau, haki ya mungu pilau utaisamehe. Yaani ni matamu balaa na ladha yake ni kama viazi.
Usije ukanirudisha huko tena sirudi sitaki mie. Nimetembea sehemu zote na states kutafuta hata yale mandizi mfu wapi! Yaani nimepungua kilo karibu 5 sababu ya njaa. I can not take it. These kind of food are not for me na hata nikipika, it does not work.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha samahani wakuu [emoji23] [emoji23]Mungu hapendi [emoji39] [emoji39] [emoji39]kuwatamanisha wengine kiasi hiki wakati vyuma vimekaza
Nenda Mwanga bar. Pembeni ya Kidia logde
Haya mambo tutayakosa...chako ni chako pamevunjwa leo
Hiki kilikuwa kiwanja muhimu sana mm kupiga misosi nikiwa dodoma...nitaenda huko kesho nikaone mambo yakojeNenda Mwanga bar. Pembeni ya Kidia logde
Mambo yako poa sana Mkuu. Ukiona pabaya, kuna Carribean mitaa hiyohiyo opp na kile kiwanja kilicho wazi wanapark magariHiki kilikuwa kiwanja muhimu sana mm kupiga misosi nikiwa dodoma...nitaenda huko kesho nikaone mambo yakoje
C²H⁴O³ + C⁴H²S⁴P ≈ S⁴H6CC¹⁴PO
Loh karibu kwangu
Naomba nyama moja
[emoji14] [emoji12]
Unaogopa nini?Naogopa