Uzi wa vyakula tu

Ukifanya hii unaweza kufanya shughuli zako za kawaida kabisa,yaani hata ukiwa job unapata nguvu ya kuongea na wenzako na kucheka kawaida kabisa?

yes unaweza

mimi huwa nishazoea kufunga tatu kavu so hii hainisumbui hata kidogo na mazoezi mepesi huwa nafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…