Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hiyo mauaji diet ndo unashindia nini?

IMG_0905.jpg

[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo hapo sema huwa naifanya once per year nikiona mwili umezidi
 
Ukifanya hii unaweza kufanya shughuli zako za kawaida kabisa,yaani hata ukiwa job unapata nguvu ya kuongea na wenzako na kucheka kawaida kabisa?

yes unaweza

mimi huwa nishazoea kufunga tatu kavu so hii hainisumbui hata kidogo na mazoezi mepesi huwa nafanya.
 
Back
Top Bottom