Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Bora tu nifunge nijulikane nmefunga.yes unaweza
mimi huwa nishazoea kufunga tatu kavu so hii hainisumbui hata kidogo na mazoezi mepesi huwa nafanya.
My favourite. Jembe na shin
Yap [emoji106][emoji39]
Bora tu nifunge nijulikane nmefunga.
Yaani mie navopenda kula ukaninywishe mimaji tu. Khaa!!! Big no
Aiseeee
Hehehehe!Aiseeee
Lunch ya J2,hakuna kula,maji tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kuleni jamani,mwili ukitaka utapungua tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee
Lunch ya J2,hakuna kula,maji tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kuleni jamani,mwili ukitaka utapungua tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1852607
[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo hapo sema huwa naifanya once per year nikiona mwili umezidi
Dah[emoji23]Nkamu wewe sio mnene, tuache vibonge[emoji3]
si unaijua miili ya kinyakyusa ina kupungua hii??
weee acha tu tupambane
Nitaanza August
Nakata mwaka kwanza
Dah[emoji23]
Diet ya maji haki siwezi[emoji1787].
Mtapata vidonda vya tumbo.
Natamani atokee mtu anipunguzie unene,nimpe wembamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nitumie kapicha nione hii 89 kg twinhuwezi sababu mwembamba [emoji23]ungekua chinene ungeweza.
mwaka 2017 nilikua na kilo zangu 68 mwenyewe nikawa nashangaa mtu anafanya vipi diet ngumu hivyo now nina 89 mbona naweza na ninaona nyepesi[emoji2]