Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ile ya 13 days hemu ikumbushie.

Na hio ya eggs

IMG_6943.jpg

IMG_0942.jpg

hizo hapo kipnz
 
Dah[emoji23]
Diet ya maji haki siwezi[emoji1787].
Mtapata vidonda vya tumbo.

Natamani atokee mtu anipunguzie unene,nimpe wembamba.

Sent using Jamii Forums mobile app

huwezi sababu mwembamba [emoji23]ungekua chinene ungeweza.

mwaka 2017 nilikua na kilo zangu 68 mwenyewe nikawa nashangaa mtu anafanya vipi diet ngumu hivyo now nina 89 mbona naweza na ninaona nyepesi[emoji2]
 
Back
Top Bottom