Doriani, wengi linawashinda wabara ila mie cku ya kwanza kuletewa nikawaambia jiko la shamba halichagui kuni nkaligonga fresh tu
Kuwala hawa yataka ununda maana hunuka km mkojo[emoji23][emoji23][emoji39]
Taammmuuu [emoji39]Doriani, wengi linawashinda wabara ila mie cku ya kwanza kuletewa nikawaambia jiko la shamba halichagui kuni nkaligonga fresh tu
fanya dear uje utupe mrejesho siku ukimaliza
Mauaji diet ndio ipoje hio?[emoji23][emoji23][emoji23] nilishajaribu nilinenepa
yaani inayonipunguza ni ile ya 13 days diet, eggs diet ya 10 days na mauaji diet.
89[emoji134][emoji23] ...huwezi sababu mwembamba [emoji23]ungekua chinene ungeweza.
mwaka 2017 nilikua na kilo zangu 68 mwenyewe nikawa nashangaa mtu anafanya vipi diet ngumu hivyo now nina 89 mbona naweza na ninaona nyepesi[emoji2]
Hebu nitumie kapicha nione hii 89 kg twin
89[emoji134][emoji23] ...
Jitahidi tahidi angalau zifike 75.
Mimi nadhani hata nikija kunenepa hiyo diet sitaiweza
Bora nifunge ijulikane tu nimefunga,
Ila diet ya kunywa maji pekeyake au yai moja na karoti[emoji1787][emoji119]sijaijaribu bado Nkamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mauaji diet ndio ipoje hio?
Nimeanza na Tangawizi na limaoView attachment 1855627
Mwe pole[emoji23]acha Nkamu ndo napambana hapa
No kawaida tu ntajuanikiwa juu mzani Twin?
Unanifurahisha sana na uhalisia wako [emoji2][emoji2]yaani pan ya ricecooker imegeuka sufuria[emoji1783]
Yammy[emoji39]Vimfupa flani laini ukivisaga utasikia kwarachiii kwarachii
View attachment 1852804