Uzi wa vyakula tu

Nawaletea ITALIAN FOOD, waitaliano kwa vyakula ni namba moja duniani tena kwa mapishi mbalimbali ya vyakula wao wanaogoza, wao ni maarufu sana kwa SPAGHETTI (tambi) wenyewe huiita "PASTA" hii tambi yenyewe kuna yakawaida na nyingine wanayoita MACORONI na hutafautiana katika mapishi na mchanganyiko wa viungo mbalimbali na nyama.
 

Attachments

  • The-Only-Macaroni-Salad-Recipe-You-Need-4.jpg
    92.2 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…