Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Hivyo yaani
IMG_20210719_160515.jpg
 
Chakula cha kieithiopia "ZIGNI" ni CHAPATI mchanganyiko wa unga wa ngano na mahindi.
ZIGNI huliwa na vitoweo au mbogamboga zilizo changanwa na na pilipili za kihabeshi, vyakula vao waeithiopia wanaweza wakala wao tu, mtu mwingine hawezi kutokana na wingi wa pilipili kali kichaa
View attachment 1864777View attachment 1864779View attachment 1864780View attachment 1864782View attachment 1864785
Dahhh...umenikumbusha mbali,hii kitu hatari ila wanauzaga gharama sana hicho kisinia[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom