Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda!
Kiche ni nini?Mint maporini!!Sidhani labda umefananisha.
Huku Kwetu inauzwa kiche sh 500 mpk elfu 1
Kuvimba fizi ni ukosefu wa vitamini C.Tangu nimeanza kula matunda sijawahi kuvimba tena fizi.View attachment 1864518
[emoji19]kisa nakula sembe?Kuvimba fizi ni ukosefu wa vitamini C.
Style ya vyakula vyako unavyokulaga ni kama tu unakulaga matufali badala ya vyakula.Subiri umri uende kidogo uanze kushambuliwa na magonjwa mbalimbali.
Siyo sembe tu.Mbeya ina utamaduni wa hovyo sana wa kula vyakula vya hovyo sana,mara vyakula vingine vya wanga mnaloweka kwanza kwenye maji kwa muda fulani ili kuondoa virutubisho.Ni utamaduni wa hovyo kabisa.[emoji19]kisa nakula sembe?
Ndiyo ni vit C ndiyo masaa najitahidi kula matunda.
Kitu kama hiyo nimeiona Iringa, wahehe mahindi kabla ya kusagwa, huyavundisha kwenye maji baada ya hapo ndio wanaanika na kusagwa unga, huwo ugali wake ukipikwa unanukia uvundo.Siyo sembe tu.Mbeya ina utamaduni wa hovyo sana wa kula vyakula vya hovyo sana,mara vyakula vingine vya wanga mnaloweka kwanza kwenye maji kwa muda fulani ili kuondoa virutubisho.Ni utamaduni wa hovyo kabisa.
Imagine Mbeya ndiyo inaongoza kwa kuzalisha chakula hapa nchini lakini pia inaongoza kwa tatizo la udumavu.Tumia elimu uliyonayo usalimike kwenye haya masuala ya lishe.
Umetuchamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siyo sembe tu.Mbeya ina utamaduni wa hovyo sana wa kula vyakula vya hovyo sana,mara vyakula vingine vya wanga mnaloweka kwanza kwenye maji kwa muda fulani ili kuondoa virutubisho.Ni utamaduni wa hovyo kabisa.
Imagine Mbeya ndiyo inaongoza kwa kuzalisha chakula hapa nchini lakini pia inaongoza kwa tatizo la udumavu.Tumia elimu uliyonayo usalimike kwenye haya masuala ya lishe.
Haunuki uvundo mkuu,labda kama mlikuta huo unga umeoza.Kitu kama hiyo nimeiona Iringa, wahehe mahindi kabla ya kusagwa, huyavundisha kwenye maji baada ya hapo ndio wanaanika na kusagwa unga, huwo ugali wake ukipikwa unanukia uvundo.
Vyakula vya watu wavivu kupika[emoji16]
Vile wanafunga kishungi kdg kwa uzi.Kiche ni nini?
Mualiko huo [emoji1787]Wewe dada unajua kupika[emoji7]
Hivi mint inastawi kwenye mazingira gani?Ni kwenye hali zote za hewa na udongo?Vile wanafunga kishungi kdg kwa uzi.
Like wanavyofunga mchicha. Sijui jina jengine wanaita shada. [emoji849]
Kiswahili nacho kigumu
Mara ya mwisho kula majimbi na viazi vilivyochemshwa ni lini?
[emoji38]Mara ya mwisho kula majimbi na viazi vilivyochemshwa ni lini?