Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Nawaletea ITALIAN FOOD, waitaliano kwa vyakula ni namba moja duniani tena kwa mapishi mbalimbali ya vyakula wao wanaogoza, wao ni maarufu sana kwa SPAGHETTI (tambi) wenyewe huiita "PASTA" hii tambi yenyewe kuna yakawaida na nyingine wanayoita MACORONI na hutafautiana katika mapishi na mchanganyiko wa viungo mbalimbali na nyama.View attachment 1867509View attachment 1867510View attachment 1867511View attachment 1867512View attachment 1867513View attachment 1867516View attachment 1867518View attachment 1867520
[emoji7][emoji39][emoji39][emoji39]
Kinavutia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayejisikia kula pilau aje nimpe location [emoji4].
IMG_20210725_153308_8.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayejisikia kula pilau aje nimpe location [emoji4].
View attachment 1867748

Sent using Jamii Forums mobile app
Pilau siyo chakula bora ila kwa jinsi ulivyoandaa hii kwa kuweka viazi,kachumbari,juice pamoja na hizo nyanya chungu imekuwa ni chakula bora.

Siku nyingine ukipika pilau weka mchele kidogo ila kachumbari,nyanya chungu,bamia na viazi viwe vingi.Pia hakikisha kuwa mboga za majani zipo kwa wingi bila kusahau matunda.Ukifanya haya basi pilau inakuwa ni chakula bora.Chakula bora ni kile kinachokupa uhakika wa kupata virutubisho mbalimbali, appetite,pamoja na siyo tu kupata choo bali iwe choo laini.
 
Pilau siyo chakula bora ila kwa jinsi ulivyoandaa hii kwa kuweka viazi,kachumbari,juice pamoja na hizo nyanya chungu imekuwa ni chakula bora.

Siku nyingine ukipika pilau weka mchele kidogo ila kachumbari,nyanya chungu na viazi viwe vingi.Pia hakikisha kuwa mboga za majani zipo kwa wingi bila kusahau matunda.Ukifanya haya basi pilau inakuwa ni chakula bora.
Angalau leo umenisifia[emoji1787]

Mchicha wa kuchemsha nimekula sana asubuhi ndiyo maana mchana sijaula.

Pilau Nimekula kidogo mno leo,Nimekula zaidi kachumbari na nyanyachungu+bamia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom