Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji7][emoji39][emoji39][emoji39]Nawaletea ITALIAN FOOD, waitaliano kwa vyakula ni namba moja duniani tena kwa mapishi mbalimbali ya vyakula wao wanaogoza, wao ni maarufu sana kwa SPAGHETTI (tambi) wenyewe huiita "PASTA" hii tambi yenyewe kuna yakawaida na nyingine wanayoita MACORONI na hutafautiana katika mapishi na mchanganyiko wa viungo mbalimbali na nyama.View attachment 1867509View attachment 1867510View attachment 1867511View attachment 1867512View attachment 1867513View attachment 1867516View attachment 1867518View attachment 1867520
Kinavutia.
Sent using Jamii Forums mobile app